FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Leo mida ya saa 4.00 usiku kutakuwa na mtanange kati ya timu yetu ya simba dhidi ya asec Mimosas.

Huku tulipo Mwanza maeneo ya Mahina, Mwananchi, huwa umeme unakatwa mida hiyo.

Tunawaomba sana Shirika letu la Tanesco kuwa kwa leo msikate umeme ili tushuhudie mtanange huo ambao ni muhimu sana kwa sisi wapenzi wa Klabu ya Simba.
 
Ebwana kuna mbilinge nyingine jioni hii ya wanawake kati ya Tanzania na South Africa. Hii ni bonge la mechi. Siangaliagi live mechi za wanawake ila huwa nahakikisha nafuatilia matokeo na hata kucheki highlights. Hii ni mechi ya kwenda Olympics, mechi muhimu sana kwetu.

Nimekuwa naamini kwa muda mrefu kuwa kwenye mpira, wanawake watatufikisha mbali kabla ya wanaume.
 
aisee . kwa hiyo TBC wana ruhusu mtangazaji wao ana enda kutangaza kituo kingine
Ndio mabadiliko chanya ya taasis, na inatakiwa iwe hivyo ili maisha yaende kikubwa mfanyakazi ajitume katika ajira yake mama.

Mbona kuna malecturers wameajiriwa chuo kimoja cha serikali lakini wanazunguka vyuo binafsi kadhaa!
 
Halafu ni kama vile TBC1 kwa kushirikiana na mshirika wake Startimes dawa imewaingia vizuri na kwa sasa hawataki utani, wameamua kupambana na Azam mpaka kieleweke ili nao wapate wateja.

Inasemekana pia Startimes anapambana aoneshe NBCPL!
 
Kila la kheri mnyama leo ushindi tu [emoji881]
 
Halafu ni kama vile TBC1 kwa kushirikiana na mshirika wake Startimes dawa imewaingia vizuri na kwa sasa hawataki utani, wameamua kupambana na Azam mpaka kieleweke ili nao wapate wateja.

Inasemekana pia Startimes anapambana aoneshe NBCPL!
Hapo n ngumu Sana kutoboa Azam Yuko mbele ya Muda
 
Simba is a big club, Leo ni final kwetu, mpira mwingi sana utapigwa pale Ivory Coast.

I hope Wydad wakiona Simba imeshinda au imesare hawatapeleka timu Botswana maana hakutakuwa na faida.

Asec ni timu nzuri lkn ni ya kawaida tu, tutacheza kikubwa sana leo.

Simba isiyorogwa itaonekana leo pale Ivory Coast.

Wishing you all the best, ila kwa Yanga hayanihusu, Mungu washushie gharika hiyo kesho.
 
Back
Top Bottom