FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

manyanga yangu yananiambia hii gemu Simba atafungwa au kudroo.
musije kunipopoa mimi ni senior ofisa ubashiri
 
Halafu ni kama vile TBC1 kwa kushirikiana na mshirika wake Startimes dawa imewaingia vizuri na kwa sasa hawataki utani, wameamua kupambana na Azam mpaka kieleweke ili nao wapate wateja.

Inasemekana pia Startimes anapambana aoneshe NBCPL!
Startimes wakiweza kuwapindua Azam ligi ya NBC natupa king'amuzi cha Azam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu bado TBC hawajagundua kuhusu hizi mechi za CAF, kwa Tv ya taifa wana chance kubwa sana kuzionyesha tena bila wao kulipia hata mia tofauti na Tv zingine zinazotakiwa kulipia ila cjui ni kwann wanashindwa kufanya h ishu.
 
Halafu ni kama vile TBC1 kwa kushirikiana na mshirika wake Startimes dawa imewaingia vizuri na kwa sasa hawataki utani, wameamua kupambana na Azam mpaka kieleweke ili nao wapate wateja.

Inasemekana pia Startimes anapambana aoneshe NBCPL!
NBCPL bado sana kuonyeshwa sehemu nyingine tofauti na Azam.

Mwaka ambao Azam alichukua haki ya kurusha ligi kwa miaka 10 pia alikuwa dstv ila ujinga wa wake ni alitaka kurusha mechi za simba vs Yanga tuu hapo ndipo akapigwa na kitu chenye ncha kali na Azam hvy Akachukua nafasi yake kiwepesi.

Kivipi issue ni maokoto mbona startime wapo clear hata kuzidi hiyo azam
Startimes wapo clear kuzidi Azam kivipi.? Kumbuka hao Startimes hawafanyi production, sasa huwezi kusema wapo clear zaidi ya Azam wakati hao wote wanapokea video ya aina moja kwenye hizo mechi za CAF zinazochezwa nje ya Tanzania.
 
Kikosi
simbasctanzania-20240223-0001.jpg
 
Back
Top Bottom