FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Halafu ni kama vile TBC1 kwa kushirikiana na mshirika wake Startimes dawa imewaingia vizuri na kwa sasa hawataki utani, wameamua kupambana na Azam mpaka kieleweke ili nao wapate wateja.

Inasemekana pia Startimes anapambana aoneshe NBCPL!
Bora wagawane match tuu za NBCPL maana Azam anaanza kubweteka sasa,kama mbwai na iwe mbwai tuu.
 
Aminaaaa
❤️‍🔥 ❤️‍🔥 ❤️‍🔥 ❤️‍🔥 ❤️‍🔥 ❤️‍🔥 ❤️‍🔥 ❤️‍🔥 ❤️‍🔥 ❤️‍🔥 🤍🤍🤍🤍🤍
 
Back
Top Bottom