FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

20240223_210705.jpg

All the Best.
Mnyama mkali.
#nguvumoja#...
 
NBCPL bado sana kuonyeshwa sehemu nyingine tofauti na Azam.

Mwaka ambao Azam alichukua haki ya kurusha ligi kwa miaka 10 pia alikuwa dstv ila ujinga wa wake ni alitaka kurusha mechi za simba vs Yanga tuu hapo ndipo akapigwa na kitu chenye ncha kali na Azam hvy Akachukua nafasi yake kiwepesi.

Startimes wapo clear kuzidi Azam kivipi.? Kumbuka hao Startimes hawafanyi production, sasa huwezi kusema wapo clear zaidi ya Azam wakati hao wote wanapokea video ya aina moja kwenye hizo mechi za CAF zinazochezwa nje ya Tanzania.
Azam Wana channel zenye HD na Tbc hawana hicho kitu.

Mechi moja utakayoangalia DStv na mechi hiyohiyo ikaoneshwa na Tbc kutoka source moja usitegee quality ya DStv na Tbc kufanana.
 
1.Asec point 13
2.whydad point 9...

Hawa wengine walachezee chandimu
 
Azam Wana channel zenye HD na Tbc hawana hicho kitu.

Mechi moja utakayoangalia DStv na mechi hiyohiyo ikaoneshwa na Tbc kutoka source moja usitegee quality ya DStv na Tbc kufanana.
Mkuu, ishu kuwa HD ni jambo la kulipia tuu na sio kwamba lazima uwe na vifaa vya HD
 
Back
Top Bottom