FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanakosa huku, fastaaa mpira uko langoni kwetu.
 
Mnaoangalia mechi ya Makolo ni majasiri kwerikweri maana Mimi huwa nimeangalia sana ni highlights YouTube pira lao silielewei kabisa mara ya mwisho kuwacheki walipopigwa 5 - 1 na Yanga kwa vile tu ilicheza na Yanga ambao sika lake unaenjoy ukicheki.
 
Back
Top Bottom