ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Matokeo yakibaki hivi Simba Tunaweza Kupita Kweli? Hii Game si ilitakiwa Tushinde?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Scout ya simba imetukosea sanaHuyu ni mzigo kabisa. Mwili mkubwa lakini hamna kitu
Tunapita ila game ya jwaneng tushindeMatokeo yakibaki hivi Simba Tunaweza Kupita Kweli? Hii Game si ilitakiwa Tushinde?
Match ijayo ni kushinda tyuuh, maana tunahitaji point 4,Matokeo yakibaki hivi Simba Tunaweza Kupita Kweli? Hii Game si ilitakiwa Tushinde?
Yani hovyo kabisaYan hawa wanaofanya coverage hasa washika camera wamedharau hii match mpaka waweke watoto wa field kweli? Sijapenda kabisa
Ha ha ha ha hamna kituScout ya simba imetukosea sana
[emoji26][emoji26][emoji26]FT
Asec 0 - 0 Simba
Hovyo kabisa timu ikifika langoni kwa adui wachezaji kama wana makengeza wanapiga nnje hovyo yaniSijawahi kuona Simba ya hovyo kama hii. Haitoboi robo
FT
Asec 0 - 0 Simba
MAtokeo yamekuumiza kuliko hata ule MWIKO wenu wa kila siku hapo jangwani
😂🤣😁😁😁😁Simba kashajitia dole...
Game ya Galaxy na Wydad inatoa mshindi wa pili...