FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Tutolewe tu, tupate kocha mwngne afanye usafi na usajili tuanze fresh msimu ujao kwa kwel
Usajili unaweza fanyika kinachotakiwa usajili waachiwe benchi la ufundi na kocha wasivurugwe na kupangiwa waachwe wafanye kazi yao sio kila mtu analeta mchezaji wake
 
Nimemsikia Onyango hapa akilalamika "oyaaaaaaa mnanitegeeeeeeeeaaaaaaaaaa........".

Halafu wanaomlaumu kocha mda si mrefu ZBC2 watapitisha namba yake ya simu ,mtumieni meseji sub za kufanya.
 
Mohamed Hussein kafanya kosa kubwa sana la kiulinzi amekiuka misingi ya ukabaji hasa beki wa pembeni kumuachia mpinzani kukupita kiboya na kumruhusu apige cross

Haya malalamiko yanatakiwa yamfikie haraka kule kwenye ile thread yake maalum kabisa mliyo muanzishia!
 
Back
Top Bottom