FT | Azam FC 0-0 Yanga SC (Pen 4-5) | Mapinduzi Cup | Gombani Stadium | Fainali | 13.01.2026

FT | Azam FC 0-0 Yanga SC (Pen 4-5) | Mapinduzi Cup | Gombani Stadium | Fainali | 13.01.2026

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
33,225
Reaction score
83,181
Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC

1768288429501.png
Kikosi kazi dhidi ya Azam FC #MapinduziCup2026Final

20260113_162223.jpg
Mpira umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanafanya mashambulizi

Dakika ya 15
Dube anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 45+3
𝐇𝐓’ | #MapinduziCupFinal

𝐀𝐙𝐀𝐌 𝐅𝐂 𝟎🆚𝟎 𝐘𝐎𝐔𝐍𝐆 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐂𝐀𝐍𝐒 𝐒𝐂

#TimuYaWananchi
20260113_173029.jpg


𝐅𝐓’ | #MapinduziCupFinal

𝐀𝐙𝐀𝐌 𝐅𝐂 𝟎🆚𝟎 𝐘𝐎𝐔𝐍𝐆 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐂𝐀𝐍𝐒 𝐒𝐂

Dakika 30 za kuongeza zinafuata🔰
20260113_184128.jpg

Dakika ya 91
Yanga SC wanafanya mashambulizi

Dakika ya 92
Yanga SC wanapata kona

Dakika ya 100
Azm 0 - 0 yng

FT
Yanga bingwa mpya wa NMB mapinduzi cup amepata kombe baada ya kumpasua Azam FC penati 5 kwa 4
 
Karia ameharibu soka la Tanzania ona sasa, mechi zimekuwa sehemu ya mapambio 😀😀😀🚮🚮
Mh! ni huku majukwaani tu mkuu uraiani mambo ni tofauti watu bado wanafatilia mechi na mbona viwanja vinapata watu..?!
sidhani kama watu wanaweza kuacha michezo katika namna hiyo maana ilikuwa ni swala la kukosoa halafu maisha mengine yanaendelea...

inaonyesha Tanzania jamii imegawanyika kuna jamii ya mitandao na isiyo ya mitandao japo inayoenda kukua kadri muda unavyokwenda jamii inahamia zaidi kwenye mitandao yakijamii!..
naweza kusema Tanzania watu wengi zaidi wanatumia mitandao kama starehe!.
Baada ya tashtwitwi zilizotokea hata jf imekuwa haina mijadala kihivyo kama hapo awali, hii inachagizwa zaidi na vile ambavyo waliminywa na naona bado wanaendelea kuminywa na sijui kwanini!.. kuna kitu kinatengenezwa kitakuja kuleta shida huko baadae.
 
Back
Top Bottom