duuuh mi mwenyewe ndo nmejua jana kwmb dirisha dogo usajiri unaendelea na linaelekea kufungwa kbs ingawa kwny mitandao nmo mpk humu jf sku hz hakuna updates za mambo ya mpira wala thread za utani wa jadi..Duh! Watanzania bado wamesusia mpira.
Ukitaka kujua Watanzania hawajasusia mpira, nenda mtandao wa Instagram uone reaction na comments zinavyojazana.Duh! Watanzania bado wamesusia mpira.
Kwani wale waamuzi mliotaka waje kuamua mechi ya Yanga na Simba walivyokuja matokeo yalikuwaje?Na refa hajampa kadi nyekundu. Ila Mchezaji wa Azam yeye kala umeme mapema tu. Kwa double standard hii acha Waamuzi kutoka Tanzania waendelee kukosekana AFCON.
Bacca ni kajamaa ka hovyo sana! Hawatumii akili uwanjani, ndiyo maana kalitukositi kule Morocco!Kazingua pale
Jikite kwenye tukio la Bacca. Ile ilikuwa red card au siyo red card?Kwani wale waamuzi mliotaka waje kuamua mechi ya Yanga na Simba walivyokuja matokeo yalikuwaje?
Mna zereu sana.Yupo sahihi
Haikuwa red card au wewe uliona refa katoa hiyo red?Jikite kwenye tukio la Bacca. Ile ilikuwa red card au siyo red card?