Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
- Thread starter
- #21
Kazingua paleBangi yule
Kazingua paleBangi yule
Ata kule Morocco alizingua hivi hiviKazingua pale
Na refa hajampa kadi nyekundu. Ila Mchezaji wa Azam yeye kala umeme mapema tu. Kwa double standard hii acha Waamuzi kutoka Tanzania waendelee kukosekana AFCON.Huyu bacca ni vurugu tupu sasa unampiga mwenzako vile kisa nn?
Oweru oyeeeeNa refa hajampa kadi nyekundu. Ila Mchezaji wa Azam yeye kala umeme mapema tu. Kwa double standard hii acha Waamuzi kutoka Tanzania waendelee kukosekana AFCON.
Refa anakimbia kama Kangaroo.Oweru oyeeee
Ndio Yanga SC ni mabingwa wa kombe la NMB mapinduzi cup
Ahsanteni kwa taarifa...
Taarifa gani wee love wakati nauliza mi 😁??Ahsanteni kwa taarifa...
Yanga kashinda...Taarifa gani wee love wakati nauliza mi 😁??
Wametokajee???
Acha zereu weweKila nikiangalia flow ya pacome, nzengeli...dube etc...kule SIMBA Mutale Ni uchafu tu...
Yupo sahihiAcha zereu wewe