Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Saa 10 na 30 jioniHii mechi itapigwa saa ngapi?
Sio usiku Tena!!Saa 10 na 30 jioni
Mh! ni huku majukwaani tu mkuu uraiani mambo ni tofauti watu bado wanafatilia mechi na mbona viwanja vinapata watu..?!Karia ameharibu soka la Tanzania ona sasa, mechi zimekuwa sehemu ya mapambio 😀😀😀🚮🚮
Azam maxApp gani naweza kuingalia..?
😃😀😀Kila nikiangalia flow ya pacome, nzengeli...dube etc...kule SIMBA Mutale Ni uchafu tu...
Bangi yuleHuyu bacca ni vurugu tupu sasa unampiga mwenzako vile kisa nn?