FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Mpambana wa kugombea nafasi ya pili msimu huu utakuwa mkali sana, nawaona simba,singida black stars pamoja na azam wakitoana roho kuipata nafasi hii adimu ya kuungana na machampioni Yanga kwenda kushiriki caf champions league mwakani
 
Mukwala anaweza kuwa na impact zaidi kwa Simba kuliko Mutale.

Huyo Mutale sijui maadui zetu wamemfanyia nini ila ni wazi anasumbuliwa na tatizo lilelile lililokuwa linamkabili Saidoo. Kama mchezaji first touch tu ni shida, wewe ni zero hata uwe na nini kingine cha ziada.
 
ANAYESEMA KUWA GOLI NI LA OFFSIDE ...ARUDIE KUANGALIA TENA REPLAY YA AZAM TV
 
Huyu diaby anadai mishahara au mamna gani vipi pale....katoa assist 2 kwa kibu na mutale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…