FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Mpambana wa kugombea nafasi ya pili msimu huu utakuwa mkali sana, nawaona simba,singida black stars pamoja na azam wakitoana roho kuipata nafasi hii adimu ya kuungana na machampioni Yanga kwenda kushiriki caf champions league mwakani
 
Mukwala anaweza kuwa na impact zaidi kwa Simba kuliko Mutale.

Huyo Mutale sijui maadui zetu wamemfanyia nini ila ni wazi anasumbuliwa na tatizo lilelile lililokuwa linamkabili Saidoo. Kama mchezaji first touch tu ni shida, wewe ni zero hata uwe na nini kingine cha ziada.
 
ANAYESEMA KUWA GOLI NI LA OFFSIDE ...ARUDIE KUANGALIA TENA REPLAY YA AZAM TV
 
Back
Top Bottom