Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sikujua kama TFF kumbe ile VAR wameiweka hukuMpaka sasa ni bila bila goli la OFFSIDE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikujua kama TFF kumbe ile VAR wameiweka hukuMpaka sasa ni bila bila goli la OFFSIDE
😁😂😂😁
Inawezekana kuna shida kwenye vifaa ama devices unazotumia.mpira wenyewe mbaya!
Hata wewe kuzaliwa kwako ilikuwa offside vinginevyo ungekuwa funza chooniGoli ni OFFSIDE kabisaaaaaa!
mkuu huna timu, unakimbizwa tuWivu tu
Kwani Ateba katoka kwa injury au ? Maan mi nipo mbali bado sijafika home niangalie mechiKilichowashinda AZAM TV kurudia tukio la rafu aliyochezewa Ateba ni nini?
Kumbuka ni simba vs azam(wamiliki wa azam tv) iyo replay nenda simba app utaipata[emoji23]Kilichowashinda AZAM TV kurudia tukio la rafu aliyochezewa Ateba ni nini?
Muulize Mabululu hilo swaliHivi hakuna usajili mpya nafasi ya kapombe!?..mtu ana miaka 40+ bado
Siangalii mpira,vipi mzuri?
sasi kuna faulo kaweka hadi vichekesho beki kaanguka peke ake ikawa fauloLeo hatutaki lawama huyu refa Sassii ni mwana yanga lia lia
Huyo jamaa hajui chochote linaongea tu ujingaJames Samwel aache kuongea kama kuku aliyekatwa shingo.
Picha za marudio za Azam zinaonesha ATEBA alikuwa onside kabisa
Home boy vipMm yanga damu ila
Azam wanapakwa futa la p didy huko