Unajifanya unamjua sana Mwanaume mwenzako sio?!Zuga tu hiyo anaifanya.
Sisi tunamuangalia sura yake alipokuwa dimbani. Feisal akiwa anedhamiria jambo huwa kuna mishipa fulani usoni kwake inavimba na anaachama mdomo
Mafanikio na kuwa top class ni mambo mawili tofauti.Misimu mitatu nyuma hadi sasa kati ya Simba na Yanga nani ana mafanikio makubwa??
Ujinga unaweza usiwe na madhara physically ila ukiwa unafanywa na watu wa karibu yako unaweza kukuketea aibu dhidi ya watu ambao wanakuona wewe kama ni mfano.Ujinga kama hauna madhara ina maana yule anayefanya ujinga anajisumbua na kujipotezea pesa na muda hivyo kumpambania mjinga ni kujisumbua. Labda iwe inamkera mtu kwavile una mdhuru.
Ona unavyoropoka sasa aisee😂😂😂😂.Mafanikio na kuwa top class ni mambo mawili tofauti.
Red bulls hata ikae dukani mwaka mzima huwezi kuifananisha na Azam energy hata kama Azam energy inauzwa Kila siku.
Class siyo jambo la mchezo mchezo. Man City pamoja na kutwaa ubingwa mara kadhaa, lakini Bado haijafikia Class ya Liverpool ambayo ilikaa miaka 30 bila ya taji lolote.
Utopolo mnadhani mko klasi ya juu sana. BADO SANA
Yote hayo uliyoyataja hayatengenezi Class.Ona unavyoropoka sasa aisee😂😂😂😂.
Nakuuliza maswali matatu rahisi sana.
1)Kati ya Simba na Yanga nani ana makombe mengi ya ligi kuu!?
2)Kati ya Simba na Yanga nani ana makombe mengi kiujumla!?
3)Kati ya Simba na Yanga nani ana viwango bora katika current performance!??
Punguza kilevi sio kizuri kwa afya.
Mwaka huu lazima kila tundu la Amfibia litatoa milioGoli la kwanza bado sijaweza kulithibitisha kama sio halali, ila lile goli la pili ni clear offside
Tafuta marudio ya kipindi cha kipyenga cha mwisho cha leo utatuliza mzuka. Ukikipata niite tukae pamoja, niko Buza Mpalanger maskani yetu uto og!Kama la ken gold jana? Tusema ken gold 1 - utopolo 1
Simba 0 - azam 0
Anatumia tv ya chogoInawezekana kuna shida kwenye vifaa ama devices unazotumia.
Itishe mara ngapiPamoja na nguvu na kukimbia kwa KIBU na MUTALE , kama SIMBA ingepata mbadala qallity players ...ingetisha
Inakuaje offside wakati amepewa assist na golikipa??Goli la offside, aibu sana Ngoma yuko peke yake, ndo maana Simba ilikandwa 5-1 na Yanga .
Huyu Sasii hafai kuchezesha Derby.
Nilitabiri mapemaUtabiri wangu Simba anashinda 2-0
Refa mwenyewe anacheka tu..anaona Raha au anawaonea huruma AzamRefa ongeza dakika 10 dakika 3 ndogo kwa Simba hii hatutaki kuona mpira ukiisha haraka
utopolo ogMpambana wa kugombea nafasi ya pili msimu huu utakuwa mkali sana, nawaona simba,singida black stars pamoja na azam wakitoana roho kuipata nafasi hii adimu ya kuungana na machampioni Yanga kwenda kushiriki caf champions league mwakani
Shukuruni Mungu kwa kila jambo.Mwisho wa mechi wachezaji wa Azam wanapiga magoti kumshukuru Mungu kwa kujibu maombi yao
Nadhani maombi yalikuwa ni kupunguza idadi ya magoli.
Hujui mpira!Inakuaje offside wakati amepewa assist na golikipa??
Offside ya Bacca Mbeya ambalo ni goli la ushindi umeiona.Goli la Ken Gold umeliona?Hujui mpira!
Faulo inapigwa , wakati mchezaji wa Simba anapiga kichwa Ngoma yuko in offside position. Kipa kaokoa ukamrudia Ngoma akafunga yuko offside!! Wachezaji wa Azam wamenyoosha mikono ila refa Sasii nae kolo wahed , kaweka kati , uonevu mkubwa! Bahasha zimfikie refa kafanya kazi nzuri aliyotumwa!
Hamna timu makolo nyie, ndo maana mpo ligi ya mademu shirikisho!!