FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Tunatoa angalizo kwa uongozi wa Simba uhakikishe jezi ya Ateba akimaliza mechi ichomwe moto na asiruhusiwe kubadilishana jezi na mchezaji yeyote.

Viatu vya Ateba na vifaa vyake vya mazoezi vipewe ulizi muda wote ili visifanyiwe vitendo vya kishirikina na maadui zetu
Ichomwe moto kivipi wakati keshatenguliwa mguu tayari

Kwqni wewe huwajui azam?
 
Back
Top Bottom