Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Kamuulize Kaduguda atakwambia kama kombe la shirikisho ni la mademu au wamama, ye ndo anajua!!Sijaelewa vizuri, CAF wameanzisha lini mashindano ya wamama? Mama nani na mama nani wamefuzu,kweli nipo nyuma ya mda.