FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Sijaelewa vizuri, CAF wameanzisha lini mashindano ya wamama? Mama nani na mama nani wamefuzu,kweli nipo nyuma ya mda.
Kamuulize Kaduguda atakwambia kama kombe la shirikisho ni la mademu au wamama, ye ndo anajua!!
 
FULL TIME HAPA AMAAN STADIUM

AZAM 0
SIMBA 2

Simba wanaondoka na point 3 muhimu na kukaa juu ya Azam kwa Point 9 (michezo 3) dhidi ya 8 za Azam (michezo 5)

NB:
Kuna timu malengo yake ni kuikamia Yanga kwenye Ligi Kuu tu, wengine Aaah!!
 
Wangese kweli
 
Labda alishawahi alikwa kwa P.Didy
Kwa kweli maana sio kwa ushuzi ule wa performance...kweli foreign player anacheza hivyo😲 thats just a waste of money kwa kweli.
Performance ya azame second half dhidi ya coastal ilikuwa mbovu na leo performance hii sio ya timu kugombania ubingwa
 
Back
Top Bottom