FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

HIVI

VAR nighali sana kwamba Tanzania tunashindwa inunua?

Au sheria haziruusu VAR
 
Timu iliyotangulia Manungu imefika salama kabisa.
 
87'
Azam 0 - 2 Simba.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jilinde tu asije akageuza kibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ananijua au ananisikiaa? Nataka nimuoneshee mie ni mwendawazimu kushinda kichaa yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…