Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Wachezaji lugha ya kigeni haipandi, waachiwe Mgunda tu.Yaani wakileta mambo Yao ya INTANESHENO KOCHI tutawakataa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji lugha ya kigeni haipandi, waachiwe Mgunda tu.Yaani wakileta mambo Yao ya INTANESHENO KOCHI tutawakataa!!
Kitakavyogeuka hamtoaminiMmepata timu ya kujipigia basi kelele mtaa mzima, subirini Yanga watakavyowakanda
Usihangaike dawa Yanga watakuja kuwapigia ball la kimataifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dawa ya kutuliza maumivu ninayo, nambie nikuletee kiasi gani.
Nasemajeeee ita vyura wenzio wote hapaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilimaanisha Azam
Fursa imejitokeza😁Leo simba at least tutafika kileleni na wenza wetu maana hamu ilikata kabisa🤨
Jamani yamekuwa hayo tena🤣Nasemajeeee ita vyura wenzio wote hapaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga Africa team la kimataifa, mtufunge kwa mpira gani mlionao? Naona mnalilia nafasi ya piliKitakavyogeuka hamtoamini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba mjikusanyee tafadhariiiii. Muwe hapa.Jamani yamekuwa hayo tena[emoji1787]
Oke oke leidiYanga Africa team la kimataifa, mtufunge kwa mpira gani mlionao? Naona mnalilia nafasi ya pili
Kwenye ubingwa msimu huu sahau mtani.Tumechelewa sana ila.
Kuna kitu kitaishangaza Nchi.
Simba ni Bingwa 2023/2024.
Hapa yanga wanateseka Kuna mmama mmoja kwenye tv ameonekana kavutaa midomo 😊😊😊90+6'
Kwikwikwi kwi kwiiiiiiTumechelewa sana ila.
Kuna kitu kitaishangaza Nchi.
Simba ni Bingwa 2023/2024.