Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwenye viwango vya CAF ni ya ngapi??Yanga Africa team la kimataifa, mtufunge kwa mpira gani mlionao? Naona mnalilia nafasi ya pili
Maana umesema ni timu ya kimataifa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye viwango vya CAF ni ya ngapi??Yanga Africa team la kimataifa, mtufunge kwa mpira gani mlionao? Naona mnalilia nafasi ya pili
Tunzeni hii risitMtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 1 Tanzania Prison. =70 points
Azam 1-2 Simba.
All other 4 games Azam win.= 69 Points.
All other 5 games Simba Win. = 71 Points. (Bingwaaaa)
In football Impossible is possible.
Anataka nini sijui!?😂🤣Yaani leo kununua mechi ili usiikose nafasi ya 2 umeshasahau 7-2😂
RageMwenye guts za kusema hivyo ni wewe au Sunday Manara na Kikwete?
Itabidi uuze urithi wa ndugu zako wote ufanikishe hio mechiWanasimba vp mnaonaje mpate ata mechi ya kirafiki na Yanga(WANANCHI) ili furaha yenu izidi[emoji16]
Mimi Ni Simba Ila FREDDY huwaga si mkubali hata kidogo sijui Ni chuki zangu binafsi au kuto endana damu......Nataka niwajue ni kina nani wanampondaga Freddy.
Diarra alishanyamazishwa na Freddy 😂😂
Em kuwa serious basi..Mtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 1 Tanzania Prison. =70 points
Azam 1-2 Simba.
All other 4 games Azam win.= 69 Points.
All other 5 games Simba Win. = 71 Points. (Bingwaaaa)
In football Impossible is possible.
Naombaa usemee yotee leo, siku tutapokaa kwenye nafasi yetu, kusiwe na jipyaaa. Uwanja ni wako sasa.Yaani leo kununua mechi ili usiikose nafasi ya 2 umeshasahau 7-2[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka niwajue ni kina nani wanampondaga Freddy.
Diarra alishanyamazishwa na Freddy [emoji23][emoji23]
Hili huwa linanishangaza sana...Utashangaa timu ananyang'anywa Mgunda na kupewa "Mzungupori" msimu ujao.
Kikubwa ni asiwe mzawa na akiwa mweupe ni sifa ya ziada.
Au Mgunda ni "deiwaka" asiye na leseni.
Lini Yanga iliwahi kuifunga Simba 7-2??Yaani leo kununua mechi ili usiikose nafasi ya 2 umeshasahau 7-2😂
😂 Ya kwanzaKwenye viwango vya CAF ni ya ngapi??
Maana umesema ni timu ya kimataifa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayaa watume na kagera Sugar match ijayo.Azam mmetukosea sana tukutane fainali tu