FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

[emoji16][emoji16][emoji16] Twende ka arajiga. Utanikuta hapa kituo cha boda
Huyu naenda kwa page yake, ntavomchambaaaa mbona atanishitaki na sijari lazima nimpe makavu yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Huyu naenda kwa page yake, ntavomchambaaaa mbona atanishitaki na sijari lazima nimpe makavu yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nongwa mtani.
Si umeshinda leo
 
View attachment 2985008
View attachment 2985846
#nguvumoja#

VIKOSI VINAVYOANZA.

AZAM FC
View attachment 2985936

SIMBA SC.
View attachment 2985938

Updates...
Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa.
Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli.

Updates....
04'
Azam wanajaribu kufanya shambulizi, halifanikiwi.

20'
Mpira unaendelea na timu zinashambuliana kwa kasi sana.
Azam 0-0 Simba

29'
Simba wanapata kona!
Haileti madhara yoyote yale.

34'
Azam wanapata penati hapa.
Anapiga Feisali Salum
Amekosaaaaaaaaaaaaaa...
Imegonga mwamba na kurudi uwanjani.

39'
Mpira umesimama kwa muda .
Kanoute amegongana na kipa Mustafa.
Anatolewa nje kwa matibabu zaidi.

HT
0-0

----------------------
Kipindi cha pili

55'
Game on
0-0

64'
Goooooooooooal
Sadio Kanouteeeeeeeeeeee
Goaaaaaaaaalllll
0-1

Mpira unaendelea sasa.

Sub kwa Azam
Sopu Inn.

75'
Simba wanapata Free Kick anapiga Mohamed Hussein.
Anaipokea Fabrice Ngoma kwa kichwa.
Goooooooooooal Goaaaaaaaaalllll
Ngomaaaaaaaaaaaa.
Fabrice Ngomaaaaa...

0-2.

89'
Goooooooooooal
la Tatu.
Kameta anaipatia Simba goli la 3 hapa.
Azam 0 - 3 Simba.

FT
Azam 0-3 Simba.
View attachment 2986089
azam waliingia na objective ya kumtafutia magoli mla ugali na sukari,mla sukari nae anacheza huku anasumbuliwa na kivuli cha aziz ki
 
Ila mikia bado nafasi ya tatu ipo pale pale labda mufanye figisu azam apoteze au atoe sare angalau mechi moja huku nyie mshinde mechi zote
 
Back
Top Bottom