Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inafanywa na utopolo tu..Wewe mwenye akili, ramba ndimu ikupunguzie kichefu chefu
Msimu huu umeliwa goli 7-2 na umetoa point 6.
Mgunda apewe timu...Mi vyura sasa ilivyovimba....kipigo kitakatifu...
Mechi ngumu matokeo ya kibabe.
HaswaaaaMgunda apewe timu...
Karibu sana mtani. Najua unafurahi kwa hisani ya Gwadiola mnene 😁Daah sikuzima ila simu ilizima....
Hamkawii kumsagia kunguni yuleHaswaaaa
Leo lambalamba walikutana na jua la kiangazi wakayeyuka😂Umejionea mtani. ..yani ni kilio kwa wana lambalamba
Majukumumu mamaIla Mtani Makolo wenzio wa Jf wamekupaga kazi kubwa sana aisee.
Wengi siku hizi wanapita kama huu uzi hawauoni wamekuacha wewe na Mtoto halali na hela ndo mnalisongesha kishida shida.
Yule Try Again tutamnyonya macho akisema yeye na Mangungu wanatafuta Kocha wa kigeni!!Haswaaaa
7-2 😹😹😹😹😹Hii inafanywa na utopolo tu..
Dunia nzima ni utopwinyo tu hujumlisha ushindi.7-2 😹😹😹😹😹
Simba na Azam wanagombania majina ya kike, mmoja anataka aitwe PILI mwingine anataka aitwe TATU😂😂Mi vyura sasa ilivyovimba....kipigo kitakatifu...
Mechi ngumu matokeo ya kibabe.
7-2 kolowizardDunia nzima ni utopwinyo tu hujumlisha ushindi.
Kaeni kwa kutulia hayo ni maneno tuu kama ya kwny kanga....yani mtatunga sana verse bila kurekodiSimba na Azam wanagombania majina ya kike, mmoja anataka aitwe PILI mwingine anataka aitwe TATU😂😂