FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Hapo kesho Sasa anavyoyaona mbumbu fc km mazezeta utasikia "mbio za ubingwa ndio zimeanza rasmi". Na yenyewe oyeeeeee... Huku kisugu na mbichwa wake akisema uwanja wa Azam sio mzuri kwa mechi za Simba.
Teseka taratibuu jamaniiii, kwan unaumia ukiwa wapiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mgunda na matola ndiye waliyewaloga wachezaji wa simba wakashindwa kabisa kucheza mpira wakati wa robertinho na wakati wa mzee wa mihasira aka mzee kipipa- benchika.

Takukuru wawachunguze mgunda na matola kwa labda kuwashawishi wachezaji wacheze chini ya kiwango ili robertinho na benchika waonekane hawafai.

Haiwezekani siku 10 tu baada ya mgunda kupewa timu wachezaji na timu imefufua makali yake.
 
Mshindi yeyote leo ilikuwa ni sawa tu kwangu. Hakuna atakayifikia Yanga katika michezo minne iliyobaki labda Yanga ipoteze michezo hiyo yote, jambo ambalo ni gumu sana kuwezekena.

1715303384145.png
 
Mzee Nimekuambia Ubingwa ni Wa Simba Ukabisha..
Simba anashinda Mechi zote zilizobaki anakuwa na Point 71..
Yanga anatoa draw na anafungwa pia anakuwa na Point 70..
Azam hata akishinda Zote anakuwa na Point 69...

Ubingwa wa Simba mzee
Hii hesabu uliyopiga ni noma...
 
Back
Top Bottom