blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Uko kwako mkuu...au Banda umiza..Niko Serious
Acha ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko kwako mkuu...au Banda umiza..Niko Serious
😜😃😃😜😂 Ya kwanza
Endeleeni kujidanganya.Haishi mpaka iishe....!
Wanamdharau ndio shida. Ila mim sitak afundishe simba, an hadhi ya kufundisha timu za huko afrika kubwa. Namin huko kwingine watampa thamaniMgunda Hiii Timu yote Yako
Njoo tena na Yale maneno yakooo, muambie arajiga wakoo akatae na Yale mabao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anataka nini sijui!?[emoji23][emoji1787]
Benchika anahitaji wachezaji ready, yeye si kocha wa kujenga wachezaji from ground up. Makocha kama hawa hawaendani na falsafa ya simbaBenchika alikua anaua vipaji vya hao madogo..kuna watu wanataka kumfungulia kesi..
Si unajua mtu akibebe madumu siku moja tayari anajiona kajazia😁Anataka nini sijui!?😂🤣
We mwenyewe ulijificha😁Mashabiki mliokimbia timu hatuwataki,mbaki hukohuko 😀😀😀😀
Nafasi pekee unayoweza kukaa ni ya 2, tena kwa hisani ya rambaramba.Naombaa usemee yotee leo, siku tutapokaa kwenye nafasi yetu, kusiwe na jipyaaa. Uwanja ni wako sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga anahitaji kushinda game 1 bas ubingwa wakeMtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 1 Tanzania Prison. =70 points
Azam 1-2 Simba.
All other 4 games Azam win.= 69 Points.
All other 5 games Simba Win. = 71 Points. (Bingwaaaa)
In football Impossible is possible.
Mimi sikukimbia timu, Daktari wangu alinishauri nikae pembeni kidogo kuepusha depressionWe mwenyewe ulijificha😁
Huko Africa akafundishe kwa kibondei?Wanamdharau ndio shida. Ila mim sitak afundishe simba, an hadhi ya kufundisha timu za huko afrika kubwa. Namin huko kwingine watampa thamani
Wewe mwenye akili, ramba ndimu ikupunguzie kichefu chefuLini Yanga iliwahi kuifunga Simba 7-2??
Kweli huko wenye akili ni wawili tu!!??
Umeshamaliza au bado? Nataka kufunga hesabuu jioni hii.Nafasi pekee unayoweza kukaa ni ya 2, tena kwa hisani ya rambaramba.
Mimi bado point 4 tu hutanifikia maisha.