Wachezaji lugha ya kigeni haipandi, waachiwe Mgunda tu.Yaani wakileta mambo Yao ya INTANESHENO KOCHI tutawakataa!!
Kitakavyogeuka hamtoaminiMmepata timu ya kujipigia basi kelele mtaa mzima, subirini Yanga watakavyowakanda
Usihangaike dawa Yanga watakuja kuwapigia ball la kimataifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dawa ya kutuliza maumivu ninayo, nambie nikuletee kiasi gani.
Nasemajeeee ita vyura wenzio wote hapaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilimaanisha Azam
Fursa imejitokezaπLeo simba at least tutafika kileleni na wenza wetu maana hamu ilikata kabisaπ€¨
Jamani yamekuwa hayo tenaπ€£Nasemajeeee ita vyura wenzio wote hapaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga Africa team la kimataifa, mtufunge kwa mpira gani mlionao? Naona mnalilia nafasi ya piliKitakavyogeuka hamtoamini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba mjikusanyee tafadhariiiii. Muwe hapa.Jamani yamekuwa hayo tena[emoji1787]
Oke oke leidiYanga Africa team la kimataifa, mtufunge kwa mpira gani mlionao? Naona mnalilia nafasi ya pili
Kwenye ubingwa msimu huu sahau mtani.Tumechelewa sana ila.
Kuna kitu kitaishangaza Nchi.
Simba ni Bingwa 2023/2024.
Hapa yanga wanateseka Kuna mmama mmoja kwenye tv ameonekana kavutaa midomo πππ90+6'
Kwikwikwi kwi kwiiiiiiTumechelewa sana ila.
Kuna kitu kitaishangaza Nchi.
Simba ni Bingwa 2023/2024.