Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Jana haikwenda kombo na hata kuangalia sikuangaliaEeh! Majukumu hayo ni pale timu ikienda kombo tu. Eeh.
Yanga wanahitaji point 3 tu afikishe point 71, bado mechi 4Mzee Nimekuambia Ubingwa ni Wa Simba Ukabisha..
Simba anashinda Mechi zote zilizobaki anakuwa na Point 71..
Yanga anatoa draw na anafungwa pia anakuwa na Point 70..
Azam hata akishinda Zote anakuwa na Point 69...
Ubingwa wa Simba mzee
Mtibwa 1 - 1 Yanga.Yanga wanahitaji point 3 tu afikishe point 71, bado mechi 4
Simba anahitaji kushinda mechi zote zilizobaki ili afikishe point 71
Hata wakilingana
Yanga ana magoli 40+
Simba ana magoli 20+
Mechi 4 zina jumla ya point 12, yanga anahitaji point 4 tu afikishe 72 ambazo Simba hataweza zifikia hata ashinde goal 10 kila mechi.
Haihitaji rocket science kumjua mshindi wa msimu huu.
Mzee Nimekuambia Ubingwa ni Wa Simba Ukabisha..
Simba anashinda Mechi zote zilizobaki anakuwa na Point 71..
Yanga anatoa draw na anafungwa pia anakuwa na Point 70..
Azam hata akishinda Zote anakuwa na Point 69...
Ubingwa wa Simba mzee
Simba Ya Mgunda tamu SanaDuh bado una ndoto za ubingwa?
Ukisikia mahaba ya kishabiki ndio haya, yaani umeona inawezekana Simba kupata point 15 katika mechi 5 ila Yanga kupata point 4 katika mechi 4 ukaona haliwezekani?
Hizi mechi zimeshachezwa mtani? πMtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 1 Tanzania Prison. =70 points
VIpi Hapo Mtani???
Unaweza kutaja kocha yupi aliyewahi kukabidhiwa timu ya Simba halafu akapoteza mechi za awali? Hilo mbona ni kawaida kwenye mpira wa miguu ila hilo lisikufanye ukaidharau Yanga kiasi kwamba uone hawana uwezo wa kupata point 4 ndani ya mechi 4 zilizobakia.Simba Ya Mgunda tamu Sana
Acha tuu rfk nitakuja PM nikwambie nilikua wapi...π€£ ulikuwa mafichoni au sio
Kule Nimeamua Bora niangalie LA LIGA tu maana Man Kutwa Kuumia tu..Hizi mechi zimeshachezwa mtani? π
Naona mnajifariji sana. Ila bora huku una uhakika wa nafasi ya 2, kule kwa red devil kawa white devil π
Unasahahu Historia Ya Mgunda??Unaweza kutaja kocha yupi aliyewahi kukabidhiwa timu ya Simba halafu akapoteza mechi za awali? Hilo mbona ni kawaida kwenye mpira wa miguu ila hilo lisikufanye ukaidharau Yanga kiasi kwamba uone hawana uwezo wa kupata point 4 ndani ya mechi 4 zilizobakia.
Ile familia wampe yule mwarabu ile timu irudishe ufalme wake. Mimi nilishajikatia tamaaπ kwa sasa labda niangalie marudio ya mechi yao, napo baada ya kusikia wameshinda. Otherwise bora mda wa mechi nicheze PS. Kuangalia mechi zao live ni kukaribisha ugonjwa wa akili πKule Nimeamua Bora niangalie LA LIGA tu maana Man Kutwa Kuumia tu..
Kama vipi Bora wauze tu timu kama imewashinda.π π
Yaani siku hizi Nina mwaka Moyo hauumi hata wachapwe Kumi π π
Robertinho alifukuzwa akiwa na unbeaten zaidi ya 20,Unasahahu Historia Ya Mgunda??
Alikuwa Ni kocha ambaye alichezesha Simba Unbeaten zaidi ya Mechi Kumi
sawaAcha tuu rfk nitakuja PM nikwambie nilikua wapi...
siwezi kuongeza wala kupunguza, nimerithi toka kwa babu yangu ambae kwa sasa ni marehemu.Heee si ufute hiyo βseβ.
Vipi zile nyimbo zenu za lawama zitaendelea zilipoishia au bado mna matumaini na timu yenu?Mzee Nimekuambia Ubingwa ni Wa Simba Ukabisha..
Simba anashinda Mechi zote zilizobaki anakuwa na Point 71..
Yanga anatoa draw na anafungwa pia anakuwa na Point 70..
Azam hata akishinda Zote anakuwa na Point 69...
Ubingwa wa Simba mzee
Jamaa ulikuwa na roho ngumu sana wewe na ubishi kedekede na ukaweka na utabiri wa mechi 4 za Yanga yanayokupa wewe furaha. Haya kiko wapi na Simba yako?Simba Tukishinda game zote 6 tulizonazo
Tuna Point 71.
Uto akipoteza mbili na droo mbili anakuwa na point 70.
Azam akidroo moja na kushinda zote anakuwa na point 71.
Uto Ubingwa bado.
Utaamuliwa mechi ya mwisho.
Bahati mbaya tu kwenye Mchezo..Vipi zile nyimbo zenu za lawama zitaendelea zilipoishia au bado mna matumaini na timu yenu?