FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Mzee Nimekuambia Ubingwa ni Wa Simba Ukabisha..
Simba anashinda Mechi zote zilizobaki anakuwa na Point 71..
Yanga anatoa draw na anafungwa pia anakuwa na Point 70..
Azam hata akishinda Zote anakuwa na Point 69...

Ubingwa wa Simba mzee
Yanga wanahitaji point 3 tu afikishe point 71, bado mechi 4
Simba anahitaji kushinda mechi zote zilizobaki ili afikishe point 71
Hata wakilingana
Yanga ana magoli 40+
Simba ana magoli 20+
Mechi 4 zina jumla ya point 12, yanga anahitaji point 4 tu afikishe 72 ambazo Simba hataweza zifikia hata ashinde goal 10 kila mechi.

Haihitaji rocket science kumjua mshindi wa msimu huu.
 
Mtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 1 Tanzania Prison. =70 points

VIpi Hapo Mtani???
 
Mzee Nimekuambia Ubingwa ni Wa Simba Ukabisha..
Simba anashinda Mechi zote zilizobaki anakuwa na Point 71..
Yanga anatoa draw na anafungwa pia anakuwa na Point 70..
Azam hata akishinda Zote anakuwa na Point 69...

Ubingwa wa Simba mzee

Duh bado una ndoto za ubingwa?
Ukisikia mahaba ya kishabiki ndio haya, yaani umeona inawezekana Simba kupata point 15 katika mechi 5 ila Yanga kupata point 4 katika mechi 4 ukaona haliwezekani?
 
  • Thanks
Reactions: 511

Simba Ya Mgunda tamu Sana
 
  • Thanks
Reactions: 511
Mtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 1 Tanzania Prison. =70 points

VIpi Hapo Mtani???
Hizi mechi zimeshachezwa mtani? 😁
Naona mnajifariji sana. Ila bora huku una uhakika wa nafasi ya 2, kule kwa red devil kawa white devil 😂
 
Simba Ya Mgunda tamu Sana
Unaweza kutaja kocha yupi aliyewahi kukabidhiwa timu ya Simba halafu akapoteza mechi za awali? Hilo mbona ni kawaida kwenye mpira wa miguu ila hilo lisikufanye ukaidharau Yanga kiasi kwamba uone hawana uwezo wa kupata point 4 ndani ya mechi 4 zilizobakia.
 
Viongozi wa timu ya Azam, bila hata Dube kutamka, wapo wa Simba na wa Yanga hii ipo wazi kabisa. Ombi langu ni kuanza uchunguzi kwa nini wachezaji wacheze chini ya kiwango hicho. Na huu ucgunguzi usimamiwe na viongozi waliopo ipande wa Yanga. Ikithibitika basi ifuatie hatua kama ya kina John Boko.
 
Hizi mechi zimeshachezwa mtani? 😁
Naona mnajifariji sana. Ila bora huku una uhakika wa nafasi ya 2, kule kwa red devil kawa white devil 😂
Kule Nimeamua Bora niangalie LA LIGA tu maana Man Kutwa Kuumia tu..
Kama vipi Bora wauze tu timu kama imewashinda.😅😅
Yaani siku hizi Nina mwaka Moyo hauumi hata wachapwe Kumi 😅😅
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Unaweza kutaja kocha yupi aliyewahi kukabidhiwa timu ya Simba halafu akapoteza mechi za awali? Hilo mbona ni kawaida kwenye mpira wa miguu ila hilo lisikufanye ukaidharau Yanga kiasi kwamba uone hawana uwezo wa kupata point 4 ndani ya mechi 4 zilizobakia.
Unasahahu Historia Ya Mgunda??
Alikuwa Ni kocha ambaye alichezesha Simba Unbeaten zaidi ya Mechi Kumi
 
Kule Nimeamua Bora niangalie LA LIGA tu maana Man Kutwa Kuumia tu..
Kama vipi Bora wauze tu timu kama imewashinda.😅😅
Yaani siku hizi Nina mwaka Moyo hauumi hata wachapwe Kumi 😅😅
Ile familia wampe yule mwarabu ile timu irudishe ufalme wake. Mimi nilishajikatia tamaa😁 kwa sasa labda niangalie marudio ya mechi yao, napo baada ya kusikia wameshinda. Otherwise bora mda wa mechi nicheze PS. Kuangalia mechi zao live ni kukaribisha ugonjwa wa akili 😂
 
Unasahahu Historia Ya Mgunda??
Alikuwa Ni kocha ambaye alichezesha Simba Unbeaten zaidi ya Mechi Kumi
Robertinho alifukuzwa akiwa na unbeaten zaidi ya 20,
Halafu unachanganya vitu, hoja sio nyie kushinda mechi zenu zote bali hoja Yangu ni kivipi umeidharau Yanga kiasi cha kuona hawana uwezo wa kupata point 4 kati ya point 12?
 
Mzee Nimekuambia Ubingwa ni Wa Simba Ukabisha..
Simba anashinda Mechi zote zilizobaki anakuwa na Point 71..
Yanga anatoa draw na anafungwa pia anakuwa na Point 70..
Azam hata akishinda Zote anakuwa na Point 69...

Ubingwa wa Simba mzee
Vipi zile nyimbo zenu za lawama zitaendelea zilipoishia au bado mna matumaini na timu yenu?
 
Simba Tukishinda game zote 6 tulizonazo
Tuna Point 71.
Uto akipoteza mbili na droo mbili anakuwa na point 70.

Azam akidroo moja na kushinda zote anakuwa na point 71.

Uto Ubingwa bado.
Utaamuliwa mechi ya mwisho.
Jamaa ulikuwa na roho ngumu sana wewe na ubishi kedekede na ukaweka na utabiri wa mechi 4 za Yanga yanayokupa wewe furaha. Haya kiko wapi na Simba yako?
 
Jamaa ulikuwa na roho ngumu sana wewe na ubishi kedekede na ukaweka na utabiri wa mechi 4 za Yanga yanayokupa wewe furaha. Haya kiko wapi na Simba yako
Acha tu.
 
Back
Top Bottom