FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Balua.
Amecheleweshwa sana
 
Azam wakieendelea kucheza hivi, kuondoka na clean sheet ni ngumu, shape yao ulinzi haipo sawa, na pia wamekuwa wanataka mpira wa mambo mengi tofauti na Simba wapo direct. Halafu wachezaji wa Azam wanajiamini kuliko kiasi
 
Back
Top Bottom