FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Najua mnaongea sana, ila nasikitika sana kwani huyo mnaemtumainia amekufa goli tatu kwa moja, kama unabisha nipo nimekaa pale!!
Tusubiri kipindi cha pili
 
Poor approach kutoka kwa Mgunda na Matola.
Kwanini asingeanza na back three na kulazimisha kucheza kwa Nyoni? Hakufanya tafiti kuhusu winga za Azam?
Hakuna tofauti ya kocha moalim aliyekua azam na mgunda wa simba. Wote walianza vizuri lakini baada ya michezo mitano timu zao zilianza kucheza fyongo.
Simba iajiri kocha wa vipers, la sivyo kwenye makundi caf cl watatia aibu
 
Goli linafungwa kizembe kabisa. Beki hazikufanya wajibu wake wa kukaba forward wawili wliokuwepo.
 
Kipindi cha pili

Mpira ushaanza tayari

Dakika 46'

Kangwaaa

Okra

Akaminko
Dube
Ndala
 
Najua mnaongea sana, ila nasikitika sana kwani huyo mnaemtumainia amekufa goli tatu kwa moja, kama unabisha nipo nimekaa pale!!
Tusubiri kipindi cha pili
Waongeze presha kwa Azam. Nado speed yao ipo chini. Wanaweza kushinda
 
Back
Top Bottom