Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Hapana ni mdaka mishale AKA Screen protector[emoji23]Hivi Bado Aishi Mnamuita Air Manula? [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ni mdaka mishale AKA Screen protector[emoji23]Hivi Bado Aishi Mnamuita Air Manula? [emoji1787]
Nlikumbuka, lile gola alifungwa Metacha kama sijasahau.Dube ana migoli mikali. Nakumbuka hata yanga aliwahi kutupiga goli kali sana
Halafu aingie nani na nani?Mlio karibu na makocha muwaambie wawatoe nasor kapama na kyombo ni uchafu mtupu
Mbaya zaidi anauchoyo fulaniKyombo ni mugalu aliyepooza
Upande wa kulia upo weak sana, mashambulizi mengi ya Azam yametokea upande uleSimba imepatwa na nini leo mzee, mbona hawasomeki?
Taja na mbadala waoMlio karibu na makocha muwaambie wawatoe nasor kapama na kyombo ni uchafu mtupu
Utoeni wote basiUpande wa kulia upo weak sana, mashambulizi mengi ya Azam yametokea upande ule
Hii mechi Simba anashindaLete Mgundaaa....... Hii ngoma inalala hivi hivi
Acheze matola anawezaTaja na mbadala wao
Akishinda niita ashura simba kikosi cha kawaida mno mpira sio historia ni uwekezajiHii mechi Simba anashinda
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Acheze matola anaweza