zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 11,432 Reaction score 24,596 Oct 27, 2022 #381 unatumia nguvu kubwa kumkazia yanga haahaha jinga sana
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Oct 27, 2022 #382 Hahahahahahha this is simbaaaaa
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,170 Reaction score 7,665 Oct 27, 2022 #383 Matola na Mgunda ni Wajinga Period.
Bueno JF-Expert Member Joined Sep 9, 2022 Posts 4,114 Reaction score 6,449 Oct 27, 2022 #384 Dakika zimeisha mda wowote refarii anamaliza mchezo Free kick FT Azam 1-0 Simba 35' Prince Dube Sina la zaidi la ziada ulikua nami Ubemuoje kutoka Benjamin Mkapa Alamsiki
Dakika zimeisha mda wowote refarii anamaliza mchezo Free kick FT Azam 1-0 Simba 35' Prince Dube Sina la zaidi la ziada ulikua nami Ubemuoje kutoka Benjamin Mkapa Alamsiki
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 11,432 Reaction score 24,596 Oct 27, 2022 #385 huyu gadiola anatimuliwa si muda
ABLE04 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 976 Reaction score 2,391 Oct 27, 2022 #386 Nimemsikia msemaji wa Azam wakati mpira unaisha akishangilia na kusema...Kum.. ake.
I Interlacustrine E JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 3,397 Reaction score 6,015 Oct 27, 2022 #387 SteveMollel said: Walikuwa wanaicheka Yanga kutoa draw na Azam. Wao wametoka na point 0 Click to expand... Tangu lini Makolokolo walikuwa na akili? Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
SteveMollel said: Walikuwa wanaicheka Yanga kutoa draw na Azam. Wao wametoka na point 0 Click to expand... Tangu lini Makolokolo walikuwa na akili? Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huja JF-Expert Member Joined Aug 7, 2021 Posts 1,167 Reaction score 1,848 Oct 27, 2022 #388 Mbona MPENJA ..Azam ni YANGA sanaaa..... Ndio uandishi huu
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Oct 27, 2022 #389 Ubemuoje said: Dakika zimeisha mda wowote refarii anamaliza mchezo Free kick FT Azam 1-0 Simba 35' Prince Dube Sina la zaidi la ziada ulikua nami Ubemuoje kutoka Benjamin Mkapa Alamsiki Click to expand... Shukrani Brother... Kazi nzuri sana.
Ubemuoje said: Dakika zimeisha mda wowote refarii anamaliza mchezo Free kick FT Azam 1-0 Simba 35' Prince Dube Sina la zaidi la ziada ulikua nami Ubemuoje kutoka Benjamin Mkapa Alamsiki Click to expand... Shukrani Brother... Kazi nzuri sana.
black angel JF-Expert Member Joined Jan 5, 2022 Posts 548 Reaction score 773 Oct 27, 2022 #390 Oyaaaa Tanzania wani anatia huruma hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
H ho chi minh JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 32,904 Reaction score 163,073 Oct 27, 2022 #391 Zisi is simba!
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Oct 27, 2022 #392 Mda si mrefu jina la "Guardiola wa bongo" litakufa
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Oct 27, 2022 #393 Nakwambia Azam msimu huu hatufungwi na team ambazo hazina viwanja
kaligopelelo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 2,832 Reaction score 4,070 Oct 27, 2022 #394 Nani alisema Simba ni wazuri? Lete mgundaaa
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,263 Reaction score 18,201 Oct 27, 2022 #395 Wana Thiiiiiiiiiiiiiiiimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Oct 27, 2022 #396 Mji upo kimya kabisa, na hakuna kelele, kila mpenda ustaarabu inabidi aombee hili timu bovu liwe linachapwa tu.
Mji upo kimya kabisa, na hakuna kelele, kila mpenda ustaarabu inabidi aombee hili timu bovu liwe linachapwa tu.
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Oct 27, 2022 #397 Modsfuteni huu uzi
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Oct 27, 2022 #398 Mwamba huyo hapo NDALA,hamna cha Chama wala Chauma kavuruga vuruga na kutibua mipango yote.
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Oct 27, 2022 #399 Sisi ni Mikia ni bure kabisa
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Oct 27, 2022 #400 Kalpana soma iyooooooo