kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Bado anaitwa na ataendelea kuitwa Air ManulaHivi Bado Aishi Mnamuita Air Manula? [emoji1787]
Hahaha watoto wa familia moja hao achana nao.Refa maliza mpira watauana hawa
Tunamuita baba yako wa kambo. Anajilia mama yako NOWHivi Bado Aishi Mnamuita Air Manula? [emoji1787]
Hatukimbii mpaka mwisho tuko pamojaWanasimba wenzangu mbona mmekimbia huu uzi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]AZAM 2 SIMBA mtungi
Simba ndo wanaongoza Kwa kelele mjini na poriniKwa mara ya kwanza banda umiza la kitaa limepoa...