FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Huyo Habibu mmempromote weee... cha ajabu anacheza fyongo!
 
Ohoooo,Guardiola mnene amekalia kuti kavu. Kesho tu anarushiwa virago.
 
Banda, na sakho ni mauchafu unanua bech best warmer [emoji16]
 
All in all, kikosi cha Simba cha leo kina utani mwingi sana. Kumchezesha Mkude, Nyoni, Kapama kwa pamoja nu kutujaribu wana Simba. Azam ni very energetic club, wana kasi na uwezo wa kumiliki mpira. Wanaoweza kucheza mechi hizo ni akina Banda, Sakho, Okwa, Okrah. Kwa vyovyote vile Nyoni hawezi kumzuia prince dube hata kwa uchawi.
 
Akishinda niita ashura simba kikosi cha kawaida mno mpira sio historia ni uwekezaji
Mkuu habari.
Jana uliukimbia uzi.
Naona leo uko na wanyonge wako
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£ eti kyombo ndio mchezaji wa daraja la juu Tanzania.
 
Wakati mnawanunua kwa mbwembwe na kuwatambulisha simba day hamkujua ni takataka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…