FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

OLE WAKE NISIKIE MTU AKILIITA KOMBE LA SHIRIKISHO KUA NI LOSER [emoji1787][emoji2957]
 
Bora nafasi ya Azam wawe wanapewa wengine..

Hata wasipokuwa na timu ya maana. Ila wakiwa na spirit wanweza kutoboa.

Azam ni Aibu.
 
Huwa narudia

Azam waachane na Timu ya mpira, wawekeze kwenye uoneshaji mpira tu maana gharama wanazotumia kwenye timu ni kubwa na hawazipati kamwe.

Wakasajili kwa pesa nyingi ila bado kuna tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…