FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Azam wameingia na style ya kupoozesha mpira na kushambulia kwa kasi na kushtukiza.
 
Upande wa kibabage hauko vizuri, lakini pia replacement ya Pakome wish angeingia Okrah
 
Azam wacheze Kwa upendo,haiwezekani makwanja kama Yale wanawapiga wenzao as if hawajui kua tuna Mamelod mbele yetu,au wamelipwa?
Maana bilashaka wawakilishi wa Mamelod wamo uwanjani kuangalia Yanga wanafanyaje.Siyo poa.
 
Nilijua tu pacome ataumizwa,hakutakiwa kucheza Leo,jeraha lile mamelod hachezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…