Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Noma sana....Yanga middle imekufaa leo,,, wanaweza kufungwa,,, Aucho + Pacome out,,, Sure boy hana match fitness kihivo,,,
Leo ndiyo leo [emoji23][emoji23][emoji23]Cha pili kimeitika huko [emoji196][emoji196]what happened leo?
Washa kimbia Uzi🤓Feiiiiiiiiiiiisal gooooooooool
Kimyaaaaaaaa kama halijafungwa goli kabisa. Maninaaaa
Mnamuomba Azam ndio Mungu?Azam tusaidie kupumguza kasi huyu majini FC anatuharibia hali ya hewa aisee
Ingawa ni offside