FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Kibabage goli la pili linapitia kwake! Anaonekana ni beki wa kushambulia zaidi kuliko kukaba!

Yanga isiyo na Aucho+Pacome! Ni Yanga ya kawaida sana! Leo Azam wamejimilikisha kiungo! Fei Toto, Silla na Kipre Jr wako 🔥

I wish Okrah naye angeingia ili kuongeza mashambulizi na pia kumsaidia Mzize na Aziz Kii pale mbele. Hapa tukijitahidi ni sare. Guede!! 😱
 
60' Azi z ki anapiga through pass kwa mzize ..goalkipa wa Azam anaokoa ...anachezewa rafu mbaya na mzize
 
Nimenuna🥺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…