FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Kuna yule manyanya
Yani yule ndo beki haswa

Alikua anabutua kama beki wetu wa chuo😂😂😂👍🏽

Yeye ni mbereeee

Ukija polepole ni mbereeee

Ukija na spidi anauweka gambani

unasubiri utofauti gani sasa wakati unajua kinachofata
Ni mbereeeee😂😂😂😂
😂😆🤣👍
 
Hii mechi wananchi tumekaa na sababu kubwa wachezajinwa yanga wanauchovu wa mfululizo wa mechi
Tuliambiwa yanga hawanaga uchovu wanaweza kucheza dakika 700 bila kupumzika. wachovu ni simba tu.
 
Back
Top Bottom