FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

weka jiwe naweka hela. GAMONDI LEAGUE ACHUKUI .

UNAPATIKANA WAPI? TUWEKE HELA AMNA KOCHA MULE
Nipo Kigamboni Kibada tena naku DM sasa hivi.
Usije badilika tu mwishowe na mimi nitaweka hela hiyo hiyo.
 
Kijana,movement huwa inahesabika offside kama mchezaji atasubiria mpira,ila kama wakati mpira unatoka kwa mchezaji A kwenda kwa mchezaji B,na mchezaji B akawa kwenye movement ya kuukimbilia mpira au kukimbilia kwenye nafasi ili auwahi mpira HAKUNA OFFSIDE YA NAMNA HIYO,,ndo kilichotokea kwenye movement ya goli la pili la feisal
Sawa ahsante kwa elimu
 
Gamondi huyu huyu aliyechukua kombe la batola pro na wydad, kombe la ligi ya south africa na mamelodi na la egypt premia ligi na ali ahly au gamondi yupi?
Anaongea hisia zake achana nae huyo.
 
Leo hii umetoa biasless claim!!??
Hatari hii,umeamkia wapi leo mamaa Thimbaa!?[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Nimeamkiaaa Chamaziiiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwemaaa?
 
Back
Top Bottom