Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goooool Onana anafunga goal la 3 hapa Azam Nguvu mojaaaa
Kijana,movement huwa inahesabika offside kama mchezaji atasubiria mpira,ila kama wakati mpira unatoka kwa mchezaji A kwenda kwa mchezaji B,na mchezaji B akawa kwenye movement ya kuukimbilia mpira au kukimbilia kwenye nafasi ili auwahi mpira HAKUNA OFFSIDE YA NAMNA HIYO,,ndo kilichotokea kwenye movement ya goli la pili la feisalNdio ni offside ngoj warudie utaona
Meza paracetamol mkuu😂Moyo unauma sanaaaaa....
Majeruhi ni adui namba moja wa mafanikio ya mchezo wa soka.Yanga itakuja kukosa ubingwa kwa ajili ya majeruhi
Kwahyo ulihisi nyie hamuwezi kufungwa au sio???Siamini macho yangu[emoji853]
🤣😁😁😭😭😭Meza paracetamol mkuu😂
🤣🤣🤣Pole mtani🤣😁😁😭😭😭
Ukiona matokeo ya mpira yanakupa stress achana na mpira,utakuja kufa kwa presha bureMatokeo ya leo yamenifadhaisha sana. Nimepata msongo mkali sana wa mawazo ila nikawahi kupatiwa huduma ya kiakili mapema.
Feitoto kalipa kisasi[emoji617][emoji617]MATCH DAY[emoji617][emoji617]
[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Azam FC[emoji739]Young Africans SC
[emoji414] 17.03.2024
[emoji909] Benjamin Mkapa Stadium.
[emoji797] 02:30 Usiku
View attachment 2937034
View attachment 2937033
Leo Leo ndio leo kivumbi na jasho...
Azam wanaumana na Yanga leo 17.03.2024 muda ni kuanzia saa 2:30usiku.
Historia inaonyesha Yanga ameibuka mshindi mara nyingi zaidi timu hizi zinapokutana.
KIKOSI CHA AZAM FC
View attachment 2937488
KIKOSI CHA YANGA SC
View attachment 2937490
9' Mzizeeee
anaipatia Yanga goal la kuongoza!
0-1
18' Sillah
Goooooooooooal
anaipatia Azam goal la kusawazisha.
1-1
View attachment 2937598
51' Fei Toto
Goooooooooooal la pili kwa Azam FC
2-1
View attachment 2937599
Daima mbele, nyuma mwiko!!
Kushindwa pia kupoUshindi lazima.
gamondi ni msenge. amna kocha hapa. kote huko 1 season wonder wamemtimua. amna kitu mule. a good couch unaona mipango na substitution. gamondi kichwa boxGamondi huyu huyu aliyechukua kombe la batola pro na wydad, kombe la ligi ya south africa na mamelodi na la egypt premia ligi na ali ahly au gamondi yupi?
Simba ana mfunga yanga tena. YANGA toka guede aje . I watch football. he has just a poor understanding of his players to the point unashangaa. GAMONDI IS OVER RATED. mimi leo ndo mwisho kuangalia game za yanga. pathetic of a manager. Ana fanya decision hadi una kuwa frustrated. 🚮🚮 amna mtu muleWe unachekesha kweli, timu gani apo ya kumfunga yanga tena?
gamondi ni msenge. amna kocha hapa. kote huko 1 season wonder wamemtimua. amna kitu mule. a good couch unaona mipango na substitution. gamondi kichwa box
Sio yanga unajua . Mimi ni sport blogger . Na amini nini sema kila sehemu after a season wanamtimua because of his poor tactics . Sundowns Alikaa a season then they fire him . He was so inconsistent and incompetent . The yanga draw is just beginning . Next season. He will be firedAisee leo yankuwa hayo?Uto noma sana