FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Ni kichaa tu anayeamini kuwa 🐸🐸watachukua ubingwa
Ubingwa kupotea never sahau.
Tena tunaanza na wewe Simba tunakuchabanga nyingi tu za kutosha.
Azam ni timu imecheza hilo tulikubali.Ila kufungwa na Azam haimaanishi Yanga ni mbovu bali tulizidiwa kimbinu.
 
Natamani niingie uwanjani nikimbie na mpira hlf nikifika golini nipige shuti liwe goal[emoji23][emoji25]
Umevurugwaa kiasi hikii? Mbona bado sanaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Goooool ni yule yule somba somba onana dk 89 azam 2 -2 yanga wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kishaumana aisee...
Na nilinunua jezi kabisa for the first time in my life afu tunafungwa[emoji24][emoji24][emoji24]
Mbona bado hujasemaa, hebu sema tena sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga wamenizoesha vibaya!
Nishazoea kila siku wananifurahisha leo kufungwa kidogo tu Mapigo ya moyo yanaenda mbio!
Mamelod ndo watakujaa kuyazima kabisa hayo mapigo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa kwa kutuliaaaa
 
Mistake unacheza namba tisa watatu wote style yao ya uchezaji ni moja.Hii mechi tumechemka wenyewe.
Ongeza sauti utopwisooo wenzio wasikie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo Azam wamegoma kulamba askrimu wamewalamba Vyura ..

##Awenaaaaaa##
 
Je simba atamuweza yanga game ya pili?sio mnafurahi tu wakati hamna uwezo wa kumfunga Yanga.

Na je nani atatoa sare na Yanga?
Wee umefungwa, emu tuliza mshonoo.
Akufunge Fei, hasira kwa Chama, kwemaaaa?
 
Back
Top Bottom