Eddy da Rose Jr
JF-Expert Member
- Jun 1, 2023
- 244
- 248
Dua ya kuku haimpati mwewe
weAzam lolote liwakute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weAzam lolote liwakute
Leo hiyo sio mada ya kuiongelea kwangu.Hata wew pia hujui
Inanuka eeh?Mmmh
Inanuka eeh?
Hawatufungi, ingawa majeruhi watatuachiaAzam wanatufunga na majeruhi juuu Mamelod wanakuja kumaliza kazi
Mwisho wa siku bado anayeongoza ligi atabakia kuwa ni Yanga.Niwakumbushe tu matokeo yakibaki hivi kisha simba akishinda zinabaki point 4 tu
aLeo hiyo sio mada ya kuiongelea kwangu.
Tufokasi na mechi ya leo
Ukiona hivyo ujue rejeta imeelemewaJamaa wanapoozesha sana mechi na Yanga design kama tumekubali.