FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Yanga ndio timu pekee kucheza mechi nne ndani ya siku nane na kushinda goli kumi watu wanachoka ambapo kikawaida tulitakiwa tuwe tumecheza mechi mbili zikidi tatu
 
Yanga ni Aucho, Aucho anaituliza sana timu. Magoli yote mawili yaliyofungwa leo ni ya uzembe wa hali ya juu. Na pia inawezekana wachezaji wamechoka kutokana na mucheza mechi mfululizo ndani ya siku chache tena ni mechi zilizokuwa ngumu
Sio kwamba tulisikia yanga hii wanaweza kucheza mechi jumatatu hadi jumapili bila kupumzika..kwamba simba ndio wanadeka kutaka kupumzika
 
Sio kwamba tulisikia yanga hii wanaweza kucheza mechi jumatatu hadi jumapili bila kupumzika..kwamba simba ndio wanadeka kutaka kupumzika
Hiizo ni tambo za wasemaji na washabiki ila benchi la ufundi ndio huwa wasema ukweli
 
Match fitness bado ni tatizo kubwa sana kwa Timu zetu hizi za Tanzania. Yanga tumecheza mpira kichovu sana leo.
 
ILa Ukweli Utopolo mna dhambi...!

Imagine mtu mnamlisha Ugali kwa Sukari..!

Hlf mwenzenu Analalamika....,

nyie mnaenda Sokoni 'mnaigiza' ulaji wa Ugali Ugali na Sukari..na anayeongoza Zoezi ni Msemaji wenu Kamwe...!

Nawaomba tubuni hasa kipindi hiki cha Kwaresma na mfungo wa Ramadan...!
 
Haina shida mkuu,, pia msimsahau Ali Ali (Al ahly)
 
Majini hayafanyi kazi wakati wa mfungo,sala imetawala anga...kiko wapi
 
Kacheza mechi ngapi hadi sasa? Kafungwa mechi ngapi na kashinda mechi ngapi? Tukuamini wewe kama nani Mungu au mpiga ramli au mganga wa kienyeji?
sema uko wapi naweka hela wewe weka jiwe. gamondi achukui league
 
kwa hii lugha yako inaonekana hujui mpira mkuu.
Gamondi ni kocha na tactics anazo ila wachezaji leo ndio wamemuangusha.
Kibabage,Sure boy wamezingua sana leo.
Pia ile mechi hakutakiwa kumchelewesha Okrah,Okrah ile mechi ilikua inamuhusu sana.
GAMONDI KOCHA we subiri tumalizane na sundowns hakuna ataebaki kuwa kizingiti kwetu pale juu hatushuki ng'oo!
Kama Al ahly inafungwa na timu ndogo za Misri sembuse Yanga??
weka jiwe naweka hela. GAMONDI LEAGUE ACHUKUI .

UNAPATIKANA WAPI? TUWEKE HELA AMNA KOCHA MULE
 
Yanga ndio timu pekee kucheza mechi nne ndani ya siku nane na kushinda goli kumi watu wanachoka ambapo kikawaida tulitakiwa tuwe tumecheza mechi mbili zikidi tatu

Haya ni majivuno Au ni Malalamiko..?

Acha kuleta tungo tata za kutuchanganya.!
 
Back
Top Bottom