FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

Kila mtu ashinde mechi zake.

Tunataka kujua leo ikiwa ni kweli...

1. Jezi nyeusi ina jambo
2. Kweli kuna bahasha za khaki

Azam wasiposhinda hii mechi ya leo hayo yote hapo juu ni ubatili.
Azam hata asiposhinda au Yanga afungwe bado namba 1 itabaki kuwa uzushi
 
Kila mtu ashinde mechi zake.

Tunataka kujua leo ikiwa ni kweli...

1. Jezi nyeusi ina jambo
2. Kweli kuna bahasha za khaki

Azam wasiposhinda hii mechi ya leo hayo yote hapo juu ni ubatili.
Yaani leo maandishi yakiwa mengi, nayaona manne manne. Asubuhi nitasoma nitaelewa ulichomaanisha.
Leo nani kavaa jezi black kwanza tuanzie hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Azam mechi kubwa huwa anafanyaga utoto..hata kama ukiona ana chance ya kushinda mechi...
 
Wazee wa Yanga wameona waanze na SOPU😆. Hawa wazee pepo hata kwenye bomba hawataiskia.
 
Back
Top Bottom