FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

Hii game ikiisha hivi basi rasmi yanga ndio bingwa wa msimu huu, na hakuna mbambamba.
𝕪𝕒𝕟𝕘𝕒 𝕟𝕚 𝕓𝕚𝕟𝕘𝕨𝕒 𝕚𝕡𝕠 𝕨𝕒𝕫𝕚 𝕨𝕒𝕡𝕚𝕟𝕫𝕒𝕟𝕚 𝕨𝕒𝕜𝕖 𝕟𝕚 𝕕𝕙𝕒𝕚𝕗𝕦 𝕤𝕒𝕟𝕒...
𝔸𝕫𝕒𝕞 𝕤𝕚𝕠 𝕞𝕡𝕚𝕟𝕫𝕒𝕟𝕚 𝕙𝕒𝕝𝕚𝕤𝕚....
 
Yes mkuu tate, whatever happens
FEI toto anastahili heshima yake jangwani, it's football, it's life pia
Tumuache aende kwenye maslahi bora au tumboresheee ili abakie
No hastahili iyo heshima. Alipaswa kuufata uongozi Kisha kuwaambia Azam wapo tayari kunilipa hivi je ninyi mpo tayari au niende zangu? Yeye amefanya Siri akachukua mpunga wa Azam Kisha kaenda kulipia mkataba yake.

Hivi hamjui chama alifanya nini alipotoka berkane? Yanga ndio walikuwa wa kwanza kumfata na dau lau ila akautaarifu uongozi wa Simba ili nao uone atakachoenda kulipwa Yanga wafanye kitu..

Acheni kutetea wasaliti
 
Azam na Simba wana mchezo unaofanana ambao kutokuwa na wachezaji wanaofungua haraka na wachezaji wanaoinua macho uwanja mzima. Kongole kwa Nabi.
Na kama una kumbumbu nzuri awali Nabi alipokuja Yanga alikuwa anataka Yanga icheze hivyo
 
Back
Top Bottom