FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

Hii mechi ili tushinde, tunatakiwa kuongeza viungo kama Sure Boy, Farid Musa, nk, ili na sisi tuweze kumiliki mpira pale katikati, kama wapinzani wetu.

Upande wa kulia nao umekuwa ni uchochoro! Moloko na Kibwana wanatakiwa kuongeza juhudi ya kukaba.
 
Mpaka sasa mpo vizuri.
 
Back
Top Bottom