FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

Fei toto ana heshima yake aisee! Hata kama ana madhaifu machache ya hapa na pale, kuhusu hiyo ishu yake ya mkataba.
Yes mkuu tate, whatever happens
FEI toto anastahili heshima yake jangwani, it's football, it's life pia
Tumuache aende kwenye maslahi bora au tumboresheee ili abakie
 
Azam walishaishika hii game lakini kwa kuona hivyo, Akaminko na Bajana wakaanza kujiamini na kuanza kuleta show game. Yanga ina highly motivated players ever pamoja na mshahara mbuzi wanaopewa wachezaji.
 
Back
Top Bottom