FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

Azizi Ki anashangilia kama Chama inaonekana ni role mode wake
 
Ndo naenda kibanda umiza, ngapi ngapi huko? Nasikia makelele tu
IMG_20221225_205009.jpg
 
Yaani Aziz funguo unalinganisha na mlima karafuu kutoka Zanzibar???
Niwakumbushe tu huyu ufunguo ni talent kubwa sana katika soka la Africa kacheza ulaya huyu
 
Back
Top Bottom