FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

74' Sospeter Bajana wa Azam anapata kasi ya njano kwa kucheza vibaya
77' Farid Musa anafunga goli la tatu kwa Yanga, ni baada ya kipa wa Yanga kutema shuti la Azizi Ki

Duh Aziz Ki alitaka kujifunga ama
 
Nikijiridhisha na historia ya utumwa then manamba, naipongeza Yanga kwa kuwapa mshahara kiduchu wachezaji wake. Mishahara mikubwa haifai kiafrikaafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…